Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Radio: RFI Kiswahili
Category: Music
 • 121 
  - Muziki Ijumaa - Chaguo lako la Muziki
  Sat, 08 May 2021
 • 120 
  - Muziki Ijumaa - Burudani ya Muziki kutoka maeneo mbalimbali na Ali Bilali
  Mon, 12 Apr 2021
 • 119 
  - Muziki Ijumaa - MC Hammer Rapper aliesumbua sana vijana miaka 1990
  Mon, 12 Apr 2021
 • 118 
  - Muziki Ijumaa - Nguli wa Muziki wa Live Afrika Mashariki Kidum Kibidon ndani ya studio za RFI
  Fri, 19 Mar 2021
 • 117 
  - Muziki Ijumaa - Mfahamu Aga Rapper mwanamuziki rapper wa kike kutoka mjini Morogoro nchini Tanzania
  Thu, 18 Mar 2021
Show more episodes

More music podcasts

More music international podcasts