Muziki Ijumaa
175 - Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji
175 - Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
More episodes
-
175 - Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizajiSat, 31 Aug 2024
-
174 - Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani AfrikaFri, 19 Jul 2024
-
173 - Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila IjumaaFri, 28 Jun 2024
-
172 - Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaaFri, 07 Jun 2024
-
171 - Muziki IjumaaSat, 27 Apr 2024
Tunjuk lebih episod
5
Lebih audio siar muzik
Other %(radios)s podcasts
Cari stesen radio anda
Cari stesen radio anda