Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Радио: RFI Kiswahili
Категория: Музыка
 • 133 
  - Muziki Ijumaa - Ombi lako Ijumaa hii kwenye uwanja wa Muziki
  Sat, 02 Oct 2021
 • 132 
  - Muziki Ijumaa - Chaguo lako la Muziki na Ali Bilali
  Wed, 15 Sep 2021
 • 131 
  - Muziki Ijumaa - Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia
  Fri, 10 Sep 2021
 • 130 
  - Muziki Ijumaa - Chaguo lako la muziki wiki hii
  Fri, 13 Aug 2021
 • 129 
  - Muziki Ijumaa - Muziki kama ulivyoomba wewe msikilizaji ijumaa ya mwisho wa mwezi Julai.
  Mon, 02 Aug 2021
Показать другие эпизоды

Другие подкасты - музыка

Другие международные подкасты - музыка