Nguvu Ya Maombi live

Nguvu Ya Maombi
Play

Nguvu Ya Maombi live

Volume
Unfavorite Pop Up

About Nguvu Ya Maombi

NGUVU YA MAOMBI ni redio ya Kikristo inayorusha matangazo kupitia mtandao, ikiwa imejikita katika kueneza Neno la Mungu na ujumbe wa kutia moyo,Maombi na maombezi kwa watu wote ulimwenguni. Dhamira yetu ni kuhamasisha, kuelimisha na kufariji watu kupitia nguvu ya imani, muziki na maombi. Tunaamini kwamba upendo wa Mungu hauzuiliwi na mipaka ya nchi wala tofauti za tamaduni. Kwa sababu hiyo, tunajitahidi kujenga jumuiya ya waumini kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wanaoshiriki pamoja furaha na amani inayopatikana katika kumjua Mungu. Jiunge nasi katika safari ya ukuaji wa kiroho, uponyaji na mabadiliko ya maisha kupitia group la whatsApp namba +255758306109

Users Rating:

star star star star star
star star star star star
Frequencies

Frequencies

Microphone

Contacts

Telephone
+255758306109
Email
nguvuyamaombionline@gmail.com
Add this radio's widget to your website
Broadcast Monitoring by ACRCloud