Nguvu Ya Maombi
Tentang Nguvu Ya Maombi
NGUVU YA MAOMBI ni redio ya Kikristo inayorusha matangazo kupitia mtandao, ikiwa imejikita katika kueneza Neno la Mungu na ujumbe wa kutia moyo,Maombi na maombezi kwa watu wote ulimwenguni.
Dhamira yetu ni kuhamasisha, kuelimisha na kufariji watu kupitia nguvu ya imani, muziki na maombi. Tunaamini kwamba upendo wa Mungu hauzuiliwi na mipaka ya nchi wala tofauti za tamaduni. Kwa sababu hiyo, tunajitahidi kujenga jumuiya ya waumini kutoka sehemu mbalimbali za dunia, wanaoshiriki pamoja furaha na amani inayopatikana katika kumjua Mungu.
Jiunge nasi katika safari ya ukuaji wa kiroho, uponyaji na mabadiliko ya maisha kupitia group la whatsApp namba +255758306109
Frekuensi
-
dar-es-salaam
Online
Kenalan
Telefon
+255758306109
E-mel
nguvuyamaombionline@gmail.com
Broadcast Monitoring by ACRCloud
Cari stesen radio anda