Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Radio: RFI Kiswahili
Category: Arts
 • 108 
  - Nyumba ya Sanaa - Changamoto za uandishi na utunzi wa vitabu nchini Tanzania
  Sat, 17 Apr 2021
 • 107 
  - Nyumba ya Sanaa - Muziki kutoka Uvira nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
  Sat, 03 Apr 2021
 • 106 
  - Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya uchoraji na urembo katika mataifa ya Afrika mashariki
  Sat, 27 Mar 2021
 • 105 
  - Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya ucheshi katika jamii waambatanishwa na uimbaji nchini Tanzania
  Sat, 13 Mar 2021
 • 104 
  - Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya uchoraji naye Thobius Minzi
  Sat, 06 Mar 2021
Show more episodes

More arts podcasts

More arts international podcasts