
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
Radio: RFI Kiswahili
Category: News & Politics
-
94- Mjadala wa Wiki - Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia nenoWed, 13 Mar 2019
-
93- Mjadala wa Wiki - Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa KatunaWed, 06 Mar 2019
-
92- Mjadala wa Wiki - Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguziThu, 31 Jan 2019
-
91- Mjadala wa Wiki - Mzozo wa kisiasa nchini VenezuelaWed, 30 Jan 2019
-
90- Mjadala wa Wiki - Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi MkuuWed, 09 Jan 2019
Show more episodes
5