Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Radio: RFI Kiswahili
Category: Business
 • 160 
  - Gurudumu la Uchumi - Kenya na mkopo mpya kutoka shirika la fedha diniani IMF
  Wed, 07 Apr 2021
 • 159 
  - Gurudumu la Uchumi - Tanzania na Afrika itamkumbuka vipi Magufuli
  Wed, 24 Mar 2021
 • 158 
  - Gurudumu la Uchumi - Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki
  Wed, 10 Mar 2021
 • 157 
  - Gurudumu la Uchumi - Kusimama kwa shughuli za Serikali Marekani baada rais Trump kukataa kupitisha bajeti
  Thu, 31 Jan 2019
 • 156 
  - Gurudumu la Uchumi - Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya
  Thu, 31 Jan 2019
Show more episodes

More business podcasts

More business international podcasts