
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Radio: RFI Kiswahili
Category: Society & Culture
-
84- Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Siku ya Kimataifa ya Francophonie ambayo huadhimishwa kila March 20 ya kila mwakaTue, 23 Mar 2021
-
83- Changu Chako, Chako Changu - Makala maalum kuhusu mwezi wa Francophonie sehemu ya tatuMon, 15 Mar 2021
-
82- Changu Chako, Chako Changu - Mkala Maalum kuhusu La FrancophonieTue, 09 Mar 2021
-
81- Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Umoja wa Afrika kuhusu uteuzi wa viongozi na badgeti sehemu ya tatuWed, 03 Mar 2021
-
80- Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Umoja wa Afrika, kuanzishwa kwake hadi sasa sehemu ya piliWed, 03 Mar 2021
Show more episodes
5