Swahili Nomads
5 - S01EP05 | Uza Sauti yako Mtandaoni [Voice Talent] | Melch Leonard
5 - S01EP05 | Uza Sauti yako Mtandaoni [Voice Talent] | Melch Leonard
Karibu SWAHILI NOMADS ambapo tunakua na mambo mengi sana ya ku-share nawe kuhusu dunia ya kidijitali. Teknolojia imeboresha vitu vingi sana, hivyo kufanya maisha ya sasa kuwa mepesi zaidi, haswa kwa vijana tunaoishi na dunia viganjani mwetu. Fursa hizo ni kama ufanyaji kazi mtandaoni (Freelancing), Affiliate marketing, media buying, trading na mambo mengine mengi sana. Fursa hizo utazisikia wapi? Karibu SWAHILI NOMADS - Let's Talk Uchumi na fursa za kidijitali.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Altri episodi
-
5 - S01EP05 | Uza Sauti yako Mtandaoni [Voice Talent] | Melch LeonardThu, 22 Sep 2022
-
4 - S01EP04 | Uza ujuzi wako mtandaoni | Getpaid AfricaMon, 12 Sep 2022
-
3 - S01EP03 | Ifahamu Blockchain Prt. 2 | Orbit Community ProgramWed, 07 Sep 2022
-
2 - S01EP02 | Ifahamu Blockchain | Orbit Community ProgramSun, 21 Aug 2022
-
1 - S01EP01 | Jinsi Nlivyotengeneza $7000 Fiverr | JOVIN MWENDWAMon, 08 Aug 2022
Mostra più episodi
5
Altri podcast di formazione scolastica
Altri podcast internazionali di formazione scolastica
Trova la tua radio