Bars

HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)

12 - 1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11)
HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)
12 - 1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11)
Unfavorite

Je, tunawezaje kuupata ukweli uliofichika katika Hema Takatifu la Kukutania? Ni kwa kuifahamu injili ya Maji na Roho tu, ambayo ni kiini cha kweli cha Hema Takatifu la Kukutania, ndipo tunapoweza kufahamu kwa usahihi jibu la swali hili. Kwa kweli, nyuzi za bluu, zambarau, na nyekundu, na kitani safi ya kusokotwa kama zilivyodhihirishwa katika lango la ua wa Hema Takatifu la Kukutania zinatuonyesha kazi za Yesu Kristo katika kipindi cha Agano Jipya ambazo zimemuokoa mwanadamu. Kwa njia hii, Neno la Agano la Kale la Hema Takatifu la Kukutania na Neno la Agano Jipya yanahusiana kwa karibu sana kama vile ilivyo kwa nyuzi za kitani safi ya kusokotwa. Lakini, kwa bahati mbaya ukweli huu umefichwa kwa muda mrefu kwa kila mtafuta ukweli katika Ukristo. Alipokuja hapa duniani, Yesu Kristo alibatizwa na Yohana Mbatizaji na akamwaga damu yake katika Msalaba. Bila ya kuifahamu na kuiamini injili ya maji na Roho, hakuna kati yetu anayeweza kamwe kupata ukweli uliofunuliwa katika Hema Takatifu la Kukutania. Hivyo ni lazima tujifunze na kuuamini ukweli huu wa Hema Takatifu la Kukutania. Sisi sote tunahitaji kutambua na kuamini juu ya ukweli uliodhihirishwa katika nyuzi za bluu, zambarau, na nyekundu, na kitani safi ya kusokotwa za lango la ua wa Hema Takatifu la Kukutania. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35

Playlist

More episodes

  • HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)
    12 - 1. Sisi Hatumo Miongoni Mwao Wanaosita na Kupotea kwa Sababu ya Dhambi Zetu (Yohana 13:1-11)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)
    11 - 2. Kisitiri na Nguzo za Mahali Patakatifu (Kutoka 26:31-37)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)
    10 - 4. Pazia Ambalo Lilipasuliwa (Mathayo 27:50-53)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)
    9 - 3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • HEMA TAKATIFU LA KUKUTANIA: Taswira ya Wazi na ya Kina ya Yesu Kristo (II)
    8 - 5. Vitako Viwili vya Fedha na Ndimi Mbili kwa Kila Ubao wa Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-37)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
Visa fler avsnitt
Microphone

Fler poddar om religion och andlighet

Microphone

Fler poddar om religion och andlighet