Injili Ya Wokovu Radio
Cirka Injili Ya Wokovu Radio
Injili ya Wokovu ni huduma ya kuhubiri na kufundisha Neno la Mungu, ikilenga kuwafikia watu kwa ujumbe wa wokovu, imani, tumaini na maisha ya kiroho. Chini ya huduma ya INJILI YA WOKOVU MINISTRIES, Injili ya Wokovu Radio Online inatoa mafundisho, mahubiri,Maombi a nyimbo za injili na vipindi vya kiroho kwa njia ya mtandao, ili Neno la Mungu lifike kwa watu popote walipo duniai "Marko 16:15-18"
Frekvenser
-
dar-es-salaam
DAB
Kontakt
Telefon
+255716634416
E-post
aaroniulaya2013@gmail.com
Broadcast Monitoring by ACRCloud
Finn din radiostasjon