Bars

Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)

30 - SURA YA 7-1. Utangulizi Kwa Sura ya 7
Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
30 - SURA YA 7-1. Utangulizi Kwa Sura ya 7
Unfavorite

Haki ya Mungu ipo wazi na ni tofauti kabisa na haki za wanadamu. Haki ya Mungu imefunuliwa katika injili ya maji na Roho ambayo ilitimizwa kwa ubatizo wa Yesu toka kwa Yohana na damu yake Msalabani. Tunapaswa kurudi katika imani inayoamini katika haki ya Mungu kabla hatujachelewa. Je, unafahamu ni kwa nini ilimpasa Yesu kubatizwa na Yohana Mbatizaji? Ikiwa Yohana asingelimbatiza Yesu, basi dhambi zetu zingekuwa hazikupitishwa kwa Yesu. Yohana Mbatizaji alikuwa ndiye mkuu kuliko wanadamu wote, na ule ubatizo ambao alimpatia Yesu ulikuwa ni sharti muhimu la Mungu ili kuweza kuzipitisha dhambi zetu toka kwetu kwenda kwa Yesu. Yesu alibatizwa ili kuzibeba dhambi zote za ulimwengu katika mabega yake, kisha aliimwaga damu yake Msalabani ili kulipa mshahara wa dhambi hizo zote. Mambo haya yote yamebadilisha kikamilifu uelewa wangu wa zamani juu ya kuzaliwa tena upya wakati nilipokuwa nikifahamu juu ya damu ya Msalaba tu. Kwa sasa Mungu ametufundisha juu ya haki ya Mungu jinsi ilivyo ili kwamba tuweze kufahamu na kuamini kikamilifu katika haki yake. Ninamshukuru Bwana kwa baraka hizi zote. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35

Playlist

More episodes

  • Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
    30 - SURA YA 7-1. Utangulizi Kwa Sura ya 7
    Fri, 13 Jan 2023
    Play
  • Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
    29 - SURA YA 7-2. Kiini cha Imani ya Paulo: Ungana na Kristo Baada ya Kuifia Dhambi (Warumi 7:1-4)
    Fri, 13 Jan 2023
    Play
  • Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
    28 - SURA YA 7-3. Sababu Inayotufanya Tumsifu Bwana (Warumi 7:5-13)
    Fri, 13 Jan 2023
    Play
  • Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
    27 - SURA YA 7-4. Miili Yetu Ambayo Inautumikia Mwili Tu (Warumi 7:14-25)
    Fri, 13 Jan 2023
    Play
  • Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
    26 - SURA YA 7-5. Mwili Unaitumikia Sheria ya Dhambi (Warumi 7:24-25)
    Fri, 13 Jan 2023
    Play
Tampilkan episode lainnya
Microphone

Podcast agama & spiritualitas lainnya

Microphone

Podcast agama & spiritualitas internasional lainnya