Bars

Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu

15 - 1. Ni Matumizi Gani Haya, Mikate Kidogo na Samaki Kwa Watu wengi? (Yohana 6:1-15)
Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
15 - 1. Ni Matumizi Gani Haya, Mikate Kidogo na Samaki Kwa Watu wengi? (Yohana 6:1-15)
Unfavorite

Yesu ametupatia uzima wa milele kupitia mwili wake mwenyewe na damu Kanisa linashika sakramenti mbili zilizoamriwa na Yesu. Moja ni ubatizo, na nyingine ni Ushirika Mtakatifu. Tunashiriki katika Ushirika ili kutoa habari juu ya injili ya Ukweli iliyofunuliwa kupitia mkate wake na divai, kwa ukumbusho wa injili hii. Katika ibada ya Ushirika Mtakatifu, tunakula mkate huo ukumbusho wa mwili wa Yesu, na kunywa divai kama sherehe ya damu yake. Kwa hivyo, maana halisi ya Ushirika Mtakatifu ni kuimarisha imani yetu katika Ukweli kwamba Yesu ametuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu na kutupatia uzima wa milele kupitia Ubatizo wake na kifo chake Msalabani. Walakini, shida ni kwamba karibu Wakristo wote wanashiriki katika Ushirika Mtakatifu tu rasmi, bila hata kutambua kile Yesu alimaanisha na kifungu, "Mwili wangu ni chakula kweli, na damu yangu ni kinywaji kweli" (Yohana 6:55). Kwa hivyo, ndani ya injili ya maji na Roho, tunahitaji tena kuzingatia maana ya amri ya Yesu kula mwili wake na kunywa damu yake, na kuiamini. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35

Playlist

Weitere Folgen

  • Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
    15 - 1. Ni Matumizi Gani Haya, Mikate Kidogo na Samaki Kwa Watu wengi? (Yohana 6:1-15)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
    14 - 2. Kumwani yeye Aliyeteuliwa na Mungu ni Kazi ya Mungu (Yohana 6:16-29)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
    13 - 3. Tufanyie Kazi Chakula Ambacho Kinadumu kwa Uhai Udumuo Milele (Yohana 6:16-40)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
    12 - 4. Kuishi Kulingana na Roho (Yohana 6:26-40)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
  • Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
    11 - 5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)
    Sun, 15 Jan 2023
    Play
Weitere Folgen anzeigen
Microphone

Weitere religion und spiritualität-Podcasts

Microphone

Weitere internationale religion und spiritualität-Podcasts